My website
Email : info@applevalleyhealth.ac.tz Call : 0764222999

Apple Valley Institute of Health Science And Technology

healthy practice, healthy care

KURIPOTI CHUONI 03/10/2022

TUNAPOKEA WANAFUNZI WANAOHAMIA KWA KOZI YA PHARMACEUTICAL SCIENCE KWA LEVEL ZOTE (LEVEL 4, LEVEL 5 NA LEVEL 6). KARIBUNI SANA.

 

Tunapokea wanafunzi wanaohamia kwa kozi ya Pharmaceutical Science, katika levels zote (Level4, Level 5 na Level 6).

Hamia Apple Valley College upate huduma zifuatazo:-

  • ·        Hostel bure
  • ·        Ada unalipa kwa awamu 4 (kidogo kidogo)